Recent Posts

Wanawake 500 kujadili fursa leo

TAKRIBANI wanawake 500 kutoka nchi 25 za Afrika, wanatarajiwa kukutana nchini leo, katika kongamano la kuwakutanisha pamoja wanawake (Africa Reconnect), kwa ajili ya kujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, ikiwemo namna ya kujiinua kiuchumi kupitia mapinduzi ya viwanda. Kongamano hilo litakalohudhuriwa na wanawake wa kada mbalimbali wakiwemo wake wa marais, watoa …

Read More »

Miguna Miguna ateuliwa naibu gavana Nairobi

Miguna Miguna Gavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi Mike Mbuvi Sonko amemteua mwanasaisa wa upinzani anayekumbwa na utata Miguna Miguna kuwa naibu gavana. Sonko alitoa tangazo hilo ambalo halikutarajiwa siku ya Jumatano jioni kwa njia ya barua kwa spika wa baraza la kaunti ya Nairobi, ikisema Miguna Miguna ametimiza …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 17.05.2018

Rafael Benitez West Ham watazungumza na meneja wa Newcastle Rafael Benitez, huku naye meneja wa Shakhtar Donetsk Paulo Fonseca kuwa miongoni kwa wale wanatafutwa. (Mirror) Manchester United wanakaribia kumaliza makubaliano ya pauni milioni 43.7 na beki wa Juventus Mbrazili Alex Sandro, 27, huku mlinzi raia wa Italia Matteo Darmian, 28, …

Read More »