Home / Habari Za Kitaifa (page 10)

Habari Za Kitaifa

Wengine 1,200 Chadema wakimbilia CCM

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kumomonyoka baada ya wanachama wao zaidi 1,200, wakiwemo viongozi wakuu wa Wilaya ya Ngorongoro, kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Miongoni mwa viongozi waliohama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Wilaya Ngorongoro, Samweli Ole Nakumbale, aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo mwaka …

Read More »

Jela miaka 24 kwa wizi, utekaji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Urambo imemhukumu kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 24 jela Baraka Masanja (22) baada ya kumtia hatiani katika kesi mbili tofauti zilizokuwa zinamkabili. Adhabu hizo zilitolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Urambo Baptista Kashusha aliyesikiliza kesi hizo …

Read More »

Mufti aonya dhidi ya mafundisho potofu

MUFTI wa Tanzania, Shehe Abubakar Zubeir Bin Ally amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) halitawavumilia wale wote wanaotumia dini Kiislamu kueneza mafundisho yaliyo kinyume na maadili ya Uislamu. Shehe Zubeir alitoa onyo hilo mwishoni mwa wiki mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa madrasa na maktaba ya …

Read More »

Viongozi 19 kikaangoni mali za vyama vya ushirika

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewanusuru viongozi 19 wa vyama vikuu vya ushirika vya mikoa ya Shinyanga (SHIRECU) na Mwanza (NCU) kwenda selo. Badala yake amewapa siku 23 wampe maelezo yatakayomridhisha juu ya mahali zilipo mali za vyama hivyo viwili. Alifikia uamuzi huo jana wakati akifunga kikao cha siku moja cha …

Read More »

Disko toto, upigaji fataki marufuku Dar

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amepiga marufuku disko toto katika mkoa huo katika kumbi mbalimbali kutokana na kumbi hizo kutokidhi viwango vya kiusalama. Mbali na kupiga marufuku hiyo, Mambosasa pia amepiga marufuku ufyatuaji wa fataki, ambao hufanywa na baadhi ya watu wakati wakisherehekea Mwaka …

Read More »

Walimu wapya 3,000 kuripoti kazini J’tano

SERIKALI imewataka walimu wapya 3,033 wa shule za msingi na sekondari, kuripoti katika vituo vya kazi kuanzia Desemba 27, mwaka huu hadi Januari 7. Kati ya walimu hao, walimu 266 ni wa sekondari na walimu 2,767 ni shule za msingi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala …

Read More »

Shahidi aeleza walivyochagua bodi CUF

ALIYEKUWA Jaji wa Mahakama ya Zanzibar, Abubakari Khamis Bakari ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa katika mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Mei 2013 alikuwa mjumbe na kwamba alishiriki kuchagua bodi ya wadhamini wa chama hicho. Bakari ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa …

Read More »

Majaliwa atoa maagizo mazito kwa watumishi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wote kuwasimamia wakulima wa zao la pamba lililokuwa limeanza kudorora kwa kuwafuata maeneo yao pamoja na kuweka mpango kazi wenye mafanikio ili kufi kia malengo ya tani zaidi ya milioni 600 zinazokadiriwa. Alisema maofi sa ugani walikuwa hawatekelezi majukumu yao ipasavyo na kufi kia …

Read More »