Home / Habari Za Kitaifa (page 5)

Habari Za Kitaifa

Taasisi zapewa mwaka kuhamia nishati ya gesi

nishati ya gesi tanzania

SERIKALI imetoa muda wa mwaka mmoja kwa taasisi zake kujiandaa kuhama kwenye matumizi ya mkaa na kuhamia kwenye nishati ya gesi na mkaa mbadala ili kuondokana na uharibifu wa mazingira. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira January Makamba wakati …

Read More »

Marufuku kuvaa vimini, milegezo shuleni

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Meru mkoani Arusha, imesema ni marufuku wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kwa wasichana kuvaa sketi fupi na wavulana kunyoa viduku, kuvaa suruali chini ya makalio ili kulinda na kutunza maadili ya Kitanzania. Pia jumuiya hiyo imempongeza Rais John …

Read More »

Maagizo ya Majaliwa yazidi kutikisa Mara

NAIBU Waziri Ofi si ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege ameagiza kuvunjwa kwa mkataba wa Sh bilioni 3.2 kwa ajili ya ujenzi wa ofi si ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama mkoani Mara, iliyokuwa ikijengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Kandege ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi na kutoridhishwa …

Read More »

Mwanafunzi abakwa na kuuawa akienda shule

MWANAFUNZI wa kike mwenye umri wa miaka 14 ameuawa kikatili baada ya kubakwa kwa zamu na mwendesha pikipiki maarufu ‘bodaboda’ kisha akachomwa kisu ubavuni na sehemu zake za siri kunyofolewa wakati akienda shule akiwa amefuatana na mdogo wake wa kiume mwenye umri wa miaka 11. Mwanafunzi huyo alikuwa akisoma darasa …

Read More »

Wabunge wamsaka Faru Ndugai, waambulia kumuona Bibi Fausta

East Africa Rhino

FARU Ndugai, mnyama aliyepewa jina la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, Job Ndugai, ndiye hasa alikuwa kivutio kwa wabunge katika Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira waliotembelea Hifadhi mseto ya Ngorongoro, ingawa hawakufanikiwa kumuona faru huyo. Kutomuona kwao, wabunge hao waliambulia kumuona faru mwingine …

Read More »

Wakurugenzi 2 matatani ubadhirifu wa mil.495/-

madiwani tanzania

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, limeagiza watumishi saba, kati ya 14 waliokuwa watumishi wa halmashauri hiyo, wakiwemo wakurugenzi watendaji wawili, kurejea wilayani hapa, kutoa ufafanuzi wa matumizi holela ya zaidi ya Sh milioni 495.5. Ufafanuzi wa fedha hizo ni majibu ya hoja za Kamati ya Bunge …

Read More »

Rais Magufuli asifu mchango wa Kingunge

RAIS John Magufuli amesema anatambua mchango mkubwa wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru katika siasa na maendeleo ya nchi. Alisema hayo jana alipokwenda kuwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam, akiwemo Kingunge na mapacha …

Read More »