Home / Michezo

Michezo

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 17.05.2018

Rafael Benitez West Ham watazungumza na meneja wa Newcastle Rafael Benitez, huku naye meneja wa Shakhtar Donetsk Paulo Fonseca kuwa miongoni kwa wale wanatafutwa. (Mirror) Manchester United wanakaribia kumaliza makubaliano ya pauni milioni 43.7 na beki wa Juventus Mbrazili Alex Sandro, 27, huku mlinzi raia wa Italia Matteo Darmian, 28, …

Read More »

Atletico Madrid walaza Marseille 3-0 na kutwaa Europa League

Atletico Madrid wameshinda Europa League mara tatu, ambapo wanashikilia rekodi sasa na Sevilla Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League mara yao ya tatu katika kipindi cha miaka tisa. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alianza …

Read More »

Mali U-20 hawatoki kwa Ngorongoro

TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Ngorongoro Heroes, leo itakuwa na kibarua kingine kwenye uwanja wa Taifa kukipiga na vijana wenzao wa Mali. Mechi hiyo ni ya raundi ya pili kuwania kufuzu michuano ya Afrika kwa vijana wa umri huo ambapo fainali zake zitafanyika mwakani …

Read More »

Ubingwa wazidi kunoga Simba baada ya ushindi wa 1-0

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Simba wameendelea kuweka heshima ya kutopoteza mchezo baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Singida United kwenye uwanja wa Namfua, Singida. Huu ni mchezo wa tatu mfululizo kwa mabingwa hao kupata ushindi mwembamba wa bao moja, baada ya ule wa Yanga na Ndanda iliyofanyika Uwanja …

Read More »

Mikel Arteta apigiwa upatu kumrithi Arsene Wenger Arsenal

Mikel Arteta na mkufunzi mkuu wa Manchester City Pep Guardiola Naibu mkufunzi wa klabu ya Manchester City Mikel Arteta ni miongoni mwa wakufunzi wanaopigiwa upatu kumrithi mkufunzi wa Arsenal anayeondoka Arsene Wenger. Raia huyo wa UHispania ambaye aliichezea The Gunners mara 150 alianza kuwa naibu wa kocha katika klabu ya …

Read More »

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Tatizo la Miundo mbinu katika viwanja vya michezo limeendelea kuwa ni kero kwa wadau wa michezo hususani mchezo wa soka , baada ya jana usiku kulazimika kusitishwa kwa muda mechi ya kombe la shirikisho kati ya Timu ya Simba sc na El Masri ya Misri iliyochezwa katika uwanja mkuu wa …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 08.03.2018

Joachim Low Kocha wa Ujerumani Joachim Low, mwenye umri wa miaka 58, ndiye anayepigiwa upatu kumrithi Arsene Wenger kama meneja wa Arsenal iwapo raia huyo wa Ufaransa ataondoka katika klabuhiyo msimu wa joto. (ESPN) Kuna hisia miongoni mwa wachezaji wa Gunners ya kutopendelewa wanaolipwa mishahara mikubwa katika kalbu hiyo ya …

Read More »

ManCity, Juventus zatinga robo fainali klabu bingwa Ulaya

ManCity , Juventus zatinga robo fainali Michuano ya Klabu bingwa Ulaya imeendelea tena jana Jumatano kwa michezo miwili Manchester city wakiwa nyumbani Etihad wamebanwa mbavu na Fc Basel baada ya kukubali kuchapwa bao 2-1. Man city ndio walikuwa wa kwanza kuliona lango la Fc Basel kwa bao la dakikaya 8 …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 05.03.2018

Arsene Wenger Everton wanataka Arsene Wenger kuwa meneja wao ikiwa atafutwa na Arsenal. Mmliki wa klabu ya Everton Farhad Moshiri anaamini kuwa Wenger ni bora zaidi kuisaidia Everton kujijenga. (Star) Chelsea wana mpango wa kumleta mchezaji wa zamani wa Arsenal Mikel Arteta katika safu yake ya usimamizi. (Mirror) Nahodha wa …

Read More »