Home / Michezo (page 10)

Michezo

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 05.11.2017

Alexis Sanchez Bayern Munich wamekana kuwa mbioni kumsaka nyota wa Arsenal Alexis Sanchez, 28, kwa sababu wanaamini kuwa tayari ameamua penye anataka kweda.(Metro) Kiungo wa kati Cesc Fabregas, 30, amethibitisha kuwa anataka kusaini mkataba mpya na Chelsea licha ya Manchester United kuonyesha nia ya kumsaini.(London Evening Standard) Harry Kane Real …

Read More »

Samatta, Olunga na Onyango kuwania taji la mchezaji bora Afrika

Mbwana Samatta wa Tanzania Denis Onyango wa Uganda, Mbwana Samata wa Tanzania na Micheal Olunga wa Kenya wameteuliwa kuwania taji la mchezaji bora barani Afrika 2017. Watatu hao nndio wachezaji kutoka eneo la Afrika mashariki ambao wameorodheshwa katika orodha ya wachezaji 30 iliotolewa na shirikisho la soka barani Afrika Caf. …

Read More »

Everton yabanduliwa kombe la Yuropa

Everton iliosalia na wachezaji 10 uwanjani walidondolewa katika kombe la ligi ya Yuropa baada ya kushindwa na Lyon Everton iliosalia na wachezaji 10 uwanjani walibanduliwa katika kombe la ligi ya Yuropa baada ya kushindwa na Lyon huku matumaini ya kocha David Unsworth ya kupewa kandarasi ya kudumu kama meneja yakipata …

Read More »

Arsenal yabanwa mbavu na zvezda

Wachezaji wakimenyana katika mchezo huo Arsenal imekubali kubanwa mbavu na klabu ya FK Crvena zvezda ya Serbia kwa kutoka suluhu ya bila kufungana. Licha ya Arsenal kulisakama lango la zvezda kwa muda mrefu lakini hawakufanikiwa kupata goli huku mara kadhaa Olivier Giroud na Jack Wilshere wakishindwa kufunga pia. Kocha wa …

Read More »

Victoria Azarenka kuikosa michuano ya kombe la Fed

Azarenka alikosa pia michuano ya US Open mwezi Agosti Victoria Azarenka wa Belarus ataikosa michuano ya kombe la Fed dhidi ya Marekani kwa sababu bado anashughulikia suala la mtoto wake mdogo aliyezuiliwa Marekani. Azarenka alijitoa kwenye michuano ya US Open mwezi Agosti baada ya kushindwa kumuacha mtoto wake Leo mwenye …

Read More »

Aguero avunja rekodi huku ManCity wakiicharaza Napoli 4-2

Sergio Aguero amekuwa mfungaji wa mabao mengi katika historia ya klabu ya Manchester City huku timu hiyo ikiilaza Napoli 4-2 ugenini Sergio Aguero amekuwa mfungaji wa mabao mengi katika historia ya klabu ya Manchester City huku timu hiyo ikiilaza Napoli 4-2 ugenini na kutinga raundi ya muondoano katika mechi ambayo …

Read More »

Beki wa PSG aifungia timu yake Hat-trick

Beki wa kushoto wa PSG Layvin Kurzawa alikuwa mlinzi wa kwanza kufunga hat-trick huku timu yake ikiicharaza Anderlecht bao 5-0 Beki wa kushoto wa PSG Layvin Kurzawa alikuwa mlinzi wa kwanza kufunga hat-trick huku timu yake ikiicharaza Anderlecht bao 5-0 na kuweza kufuzu katika mechi za muondoano za klabu bingwa …

Read More »

Roma yaicharaza Chelsea 3-0 vilabu bingwa

Wachezaji wa Chelsea wakiwa wamewachwa vinywa wazi baada ya kuzabwa mabao 3 bila jibu na Roma Chelsea imekuwa timu ya kwanza katika ligi ya Uingereza kupoteza mechi ya vilabu bingwa msimu huu baada ya kushindwa na Roma ilioimarika. The Blues ingesonga mbele iwapo ingeibuka mshindi lakini ikajipata nyuma katika sekunde …

Read More »