Home / Michezo (page 108)

Michezo

MATANDIKA, CHACHA WATUHUMIWA KUOMBA RUSHWA

MSAIDIZI wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Juma Matandika na Kaimu Mkurugenzi wa Mashindano wa shirikisho hilo, Martin Chacha, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Sh milioni 25. Washtakiwa hao walifikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, …

Read More »

SIMBA YAKALISHWA TENA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameendelea kuvurunda katika ligi hiyo, baada ya jana kufungwa 2-1 na Tanzania Prisons katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Hicho ni kipigo cha pili mfululizo kwa timu hiyo baada ya kufungwa na timu iliyopanda daraja ya African Lyon …

Read More »