Home / Michezo (page 2)

Michezo

Mali U-20 hawatoki kwa Ngorongoro

TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Ngorongoro Heroes, leo itakuwa na kibarua kingine kwenye uwanja wa Taifa kukipiga na vijana wenzao wa Mali. Mechi hiyo ni ya raundi ya pili kuwania kufuzu michuano ya Afrika kwa vijana wa umri huo ambapo fainali zake zitafanyika mwakani …

Read More »

Ubingwa wazidi kunoga Simba baada ya ushindi wa 1-0

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Simba wameendelea kuweka heshima ya kutopoteza mchezo baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Singida United kwenye uwanja wa Namfua, Singida. Huu ni mchezo wa tatu mfululizo kwa mabingwa hao kupata ushindi mwembamba wa bao moja, baada ya ule wa Yanga na Ndanda iliyofanyika Uwanja …

Read More »

Mikel Arteta apigiwa upatu kumrithi Arsene Wenger Arsenal

Mikel Arteta na mkufunzi mkuu wa Manchester City Pep Guardiola Naibu mkufunzi wa klabu ya Manchester City Mikel Arteta ni miongoni mwa wakufunzi wanaopigiwa upatu kumrithi mkufunzi wa Arsenal anayeondoka Arsene Wenger. Raia huyo wa UHispania ambaye aliichezea The Gunners mara 150 alianza kuwa naibu wa kocha katika klabu ya …

Read More »

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Tatizo la Miundo mbinu katika viwanja vya michezo limeendelea kuwa ni kero kwa wadau wa michezo hususani mchezo wa soka , baada ya jana usiku kulazimika kusitishwa kwa muda mechi ya kombe la shirikisho kati ya Timu ya Simba sc na El Masri ya Misri iliyochezwa katika uwanja mkuu wa …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 08.03.2018

Joachim Low Kocha wa Ujerumani Joachim Low, mwenye umri wa miaka 58, ndiye anayepigiwa upatu kumrithi Arsene Wenger kama meneja wa Arsenal iwapo raia huyo wa Ufaransa ataondoka katika klabuhiyo msimu wa joto. (ESPN) Kuna hisia miongoni mwa wachezaji wa Gunners ya kutopendelewa wanaolipwa mishahara mikubwa katika kalbu hiyo ya …

Read More »

ManCity, Juventus zatinga robo fainali klabu bingwa Ulaya

ManCity , Juventus zatinga robo fainali Michuano ya Klabu bingwa Ulaya imeendelea tena jana Jumatano kwa michezo miwili Manchester city wakiwa nyumbani Etihad wamebanwa mbavu na Fc Basel baada ya kukubali kuchapwa bao 2-1. Man city ndio walikuwa wa kwanza kuliona lango la Fc Basel kwa bao la dakikaya 8 …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 05.03.2018

Arsene Wenger Everton wanataka Arsene Wenger kuwa meneja wao ikiwa atafutwa na Arsenal. Mmliki wa klabu ya Everton Farhad Moshiri anaamini kuwa Wenger ni bora zaidi kuisaidia Everton kujijenga. (Star) Chelsea wana mpango wa kumleta mchezaji wa zamani wa Arsenal Mikel Arteta katika safu yake ya usimamizi. (Mirror) Nahodha wa …

Read More »

Manchester City ya ukaribia ubingwa

Man City yakaribia ubingwa ligi kuu ya England Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City umezidi kuwaimarisha …

Read More »

Nyota wanamuombea Rick Ross aliyelazwa hospitalini

Missy Elliot na Snoop Dogg ni miongoni mwa nyota wanaomuombea rappa Rick Ross aliyelazwa hospitalini Marekani. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 42 amelazwa katika hospitali moja huko Miami, huku taarifa zisizoweza kuthibitishwa kutoka vyombo vya habari nchini humo zikiashiria kwamba yuko katika hali mahututi. Katika matandao wa kijamii Twitter …

Read More »

Nahodha wa kablu ya Fiorentina Davide Astori afariki dunia

Astori ameichezea Fiorentina mechi 27 msimu huu Nahodha wa Fiorentina raia wa Italia Davide Astori amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31. Mlinzi huyo alifariki kutokana na ugonjwa wa ghafla, kwa mujibu wa klabu yake kupitia akaunti yao wa Twitter. Fiorentina walipangiwa kucheza na Udinese leo jioni kwenye ligi …

Read More »