Home / Michezo (page 20)

Michezo

Chelsea kukabiliana na ManCity

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte kulia na Pep Guardiola wa Manchester City kushoto Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard huenda akashiriki katika mechi yake ya kwanza msimu huu , huku Pedro naye pia akitarajiwa kuchezeshwa baada ya kupumzishwa katikati ya wiki. David Luiz atalazimika kukamilisha marufuku ya mechi tatu aliyopigwa huku …

Read More »

Mourinho: Pogba kukaa nje kwa muda mrefu

Pogba baada ya kupata jeraha Jeraha la nyuma ya goti la kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba’s limmuweka nje kwa kiindi kirefu , kulingana na mkufunzi Jose Mourinho. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 aliguchia na kutolewa nje dakika 19 za mechi ya vilabu bingwa kati ya …

Read More »

Mshambuliaji wa ManCity Sergio Aguero ajeruhiwa katika ajali

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amejeruhiwa katika ajali ya barabarani mjini Amsterdam, saa chache baada ya kuhudhuria tamasha. Raia huyo wa Argentina, mwenye umri wa miaka 29, anaarifiwa kuwa ndani ya taxi akielekea katika uwanja wa ndege baada ya kuhudhuria tamasha la muimbaji Maluma. City imesema “alikuwa Uholanzi katika …

Read More »

Arsenal yanawiri -Europa ligi

Klabu ya Arsenal ikiwa ugenini Imeshinda mabao 4-2 Michuano ya Uefa Europa Ligi imepigwa usiku wa kuamkia leo kwa michezo mbalimbali hatua ya Makundi. Klabu ya Arsenal ikiwa ugenini Imeshinda mabao 4-2 dhidi ya Bate Borisov, Everton imetoka sare ya bao 2-2 na Apollon, Ac Millan imeshinda 3-2 dhidi ya …

Read More »

Micho kuiongoza Orlando kuikabili Polokwane

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa Uganda ambaye kwa sasa ni kocha wa Orlando Pirates ya Afrika kusini, Milutin ‘Micho’ Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa Uganda ambaye kwa sasa ni kocha Orlando Pirates ya Afrika kusini, Milutin ‘Micho’ Sredojevic amejipanga kurudi upya katika mchezo wao dhidi ya Timu ya …

Read More »

Wanawake wa Tanzania kukabiliana na Nigeria

Timu ya soka ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 wakiwa na viongozi wao Timu ya soka ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 ya Nigeria inatarajiwa kutua jijini Dar es salaam leo ijumaa ikiwa na kikosi cha watu 31 . Timu hiyo inataraji …

Read More »

Bayern Munich wamfuta kazi Carlo Ancelotti

Mkufunzi Carlo Ancelotti Carlo Ancelotti amefutwa kazi kuwa kocha wa klabu ya nayern Munich. Kufuatia kichapo cha 3-0 dhidi ya PSG , bodi ya klabu hiyo iliamua kumfuta kazi raia huyo wa Italy ambay alichukua mahala pake Pepe Guardiola msimu uliopita. Ancelotti mwenye umri wa miaka 58, aliisaidia Bayern kushinda …

Read More »

Gwiji wa muziki wa country Don Williams afariki dunia

Don Williams alianza kuimba muziki kama mwanamuziki wa kujitegemea mwaka 1971 Mwanamuziki nyota wa nyimbo za mtindo wa country kutoka Marekani Don Williams amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Mzaliwa huyo wa jimbo la Texas amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, afisa anayesimamia mawasiliano yake ametangaza. Williams …

Read More »