Home / Michezo (page 3)

Michezo

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 02.03.2018

Mshambuliaji Mjerumani Marco Reus Tottenham wakotayari kumnadi mshambuliaji Mjerumani Marco Reus,28, wa timu ya Borussia Dortmund (Mirror) Timu za Paris St-Germain na Real Madrid wanamvisia mlinda mlango wa Chelsea Thibaut Courtois,25. Baba yake Thibaut alikutana na timu hizo za Kifaransa kwa mazungumzo yasiyo rasmi wiki hii (RTBF, via London Evening …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 27.02.2018

Eden Hazard Chelsea watampa Eden Hazard ofa ya karibu pauni 300,000 kwa wiki wanapojaribu kuzuia vilabu vinavyommezea mate mchezaji huyo raia wa Ubelgiji ambaye mkataba wake unamalizika mwaka 2020. (Mail) Barcelona wanamuangalia mlinzi wa Tottenham na Ubelgiji Toby Alderweireld, 28 ambaye sehemu ya mkataba wake inasema kuwa anaweza kuruhusiwa kuondoka …

Read More »

Neymar aondolewa uwanjani kwa machela Ufaransa

PSG walicheza dakika 10 za mwisho wakiwa na wachezaji 10 pekee uwanjani Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar aliondolewa uwanjani kwa machela baada ya kuumia wakati wa mechi ya ligi kuu dhidi ya Marseille ambayo walishinda 3-0. PSG walimaliza mechi hiyo wakiwa wachezaji 10 kwani walikuwa wametumia nafasi zao zote za …

Read More »

Yanga hesabu zimekubali

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Yanga jana walitoka sare ya bao 1-1 na St Louis ya Shelisheli kwenye mechi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na kusonga mbele. Yanga imesonga mbele kwa mabao 2-1 baada ya kushinda bao 1-0 katika mechi ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam. …

Read More »

Rais FIFA awasili Tanzania

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino amewasilia jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mkutano utakaofanyika leo. Infantino amefuatana na Rais wa shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe aliongoza mapokezi kwenye …

Read More »

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 22.02.2018

Pogba Ajenti wa kiungo wa kati wa Man United Paul Pogba amewasilisha ombi la kuhama la mchezaji huyo katika klabu kubwa za Ulaya . Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 24 alianza mechi ya United ya 0-0 dhidi ya Sevilla siku ya Jumatano akicheza kama mchezaji wa ziada. …

Read More »