Home / Michezo (page 30)

Michezo

Wagombea TFF kwenye mchujo mkali

MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wakili Revocatus Kuuli amesema kabla ya kutangaza majina ya wagombea waliopita kwenye mchujo watajiridhisha kwa kupeleka nakala za vyeti vya elimu ya sekondari Baraza la mitihani. Akizungumza na gazeti hili jana, Wakili Kuuli alisema jana na leo wanapitia …

Read More »

Safari ya Stars Cosafa yaiva

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars, leo inatarajiwa kwenda nchini Afrika Kusini, kushiriki Michuano ya Cosafa inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki hii nchini humo. Katika michuano hiyo inayoshirikisha nchi nane, Taifa Stars imepangwa Kundi A pamoja na Mauritius, Malawi na Angola huku kundi B likiwa na timu …

Read More »

AZAM YAZITESA SIMBA, YANGA

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana lilitangaza kufungua dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Bara, ligi daraja la kwanza na la pili. Taarifa ya TFF kwa vyombo vya habari jana ilisema dirisha la usajili litafunguliwa Juni 15 na kufungwa Agosti 6 mwaka huu. Tayari timu zimeshaanza kufanya mazungumzo …

Read More »

Stars yaanza kwa sare

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars jana ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Lesotho katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya kombe la mataifa Afrika ‘Afcon’ 2019 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Matokeo hayo hayaiweki Stars kwenye nafasi nzuri sana ya kusonga mbele kwenye michuano ambayo mshindi wa …

Read More »

Wachezaji Yanga wafungiwa

KAMATI ya saa 72 ya Yanga imeinyuka klabu hiyo faini ya sh milioni 4 ikiwa ni pamoja na kuwasimamisha wachezaji wake. Wachezaji Deus Kaseke, Simon Msuva na Obrey Chirwa wa Yanga wamesimamishwa kucheza mechi za Ligi Kuu wakati wakisubiri suala lao la kumsukuma na kumwangusha Mwamuzi Ludovic Charles kusikilizwa na …

Read More »

Simba kulamba mamilioni

WACHEZAJI wa klabu ya soka ya Simba wameahidiwa mamilioni ya fedha endapo leo wataibuka na ushindi dhidi ya Mbao FC ya Mwanza, katika mchezo wa fainali ya Kombe la FA. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, ambapo mshindi mbali na kutwaa taji hilo, pia atapata tiketi ya …

Read More »

Wayne Rooney: Huenda nikarudi Everton

Nahodha wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney Nahodha wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney anasema kuwa bado hajaamua kuhusu hatma yake katika klabu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 hajachezeshwa sana msimu huu huku akiingia kama mchezaji wa ziada katika kombe la ligi ya Yuropa dhidi …

Read More »

Klabu ya Everton kucheza nchini Tanzania

Kampuni ya Sportpesa baada ya kuweka mkataba wa kuidhamini klabu ya Everton kutoka Uingereza Klabu ya Uingereza ya Everton itazuru nchini Tanzania kwa mechi za kirafiki kabla ya msimu wa 2017/18. Kulingana na tovuti rasmi ya klabu hiyo, ziara hiyo ambayo ni ya kusheherekea udhamini mpya wa klabu hiyo na …

Read More »

Wilfried Zaha aongeza mkataba wa miaka 5 Crystal Palace

Winga wa Crystal Palace Wilfried Zaha ametia saini mkataba mpya wa miaka mitano ya ziada katika klabu hiyo ya ligi ya England. Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Ivory Coast ameicheza timu hiyo na kufanikiwa kuifungia mabao 34 . Zaha, mwenye umri wa miaka 24, ameuambia mtandao wa klabu hiyo: …

Read More »