Home / Michezo (page 5)

Michezo

Liberia: George Weah amwalika Wenger sherehe ya kuapishwa kwake

George Weah alikuwa mchezaji Monaco Wenger alipokuwa meneja Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameambia BBC kwamba amepokea mwaliko kutoka kwa rais mteule wa Liberia George Weah kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake baadaye mwezi huu. Wenger amesema: “Nimealikwa na George kwa siku hiyo ambapo ataapishwa kuwa Rais.” Meneja huyo wa Arsenal …

Read More »

Arsene Wenger achunguzwa tena na FA kuhusu tamko lake juu ya waamuzi

Arsene Wenger anakabiliwa na mashtaka zaidi kutoka kwa Chama cha Soka England baada yake kulalamika kuhusu mechi kati ya Arsenal na Chelsea ambayo ilimalizika kwa sare ya 2-2. Wenger alisema kuna “sadfa ambazo zimezidi” kuhusu maamuzi ya marefa. Alilalamika kwamba mkwaju wa penalti waliozawadiwa Chelsea wakati wa mechi hiyo Jumatano …

Read More »

Serena Williams ajiondoa kutoka kwa Australian Open 2018

Serena Williams alishindwa 6-2 3-6 (10-5) na Jelena Ostapenko Abu Dhabi wiki iliyopita Mchezaji nyota wa tenisi duniani Serena Williams amejiondoa kutoka kwa michuano ya mwezi huu ya Australian Open mjini Melbourne. Mmarekani huyo wa miaka 36 alicheza mechi yake ya kwanza wiki iliyopita tangu ajifungue Septemba. Williams, ambaye ameshinda …

Read More »

Ashley Cole aongeza mkataba LA Galaxy

Cole amechezea Los Angeles Galaxy mechi 55 Beki wa zamani wa England Ashley Cole ameongeza mwaka mmoja kwenye mkataba wake katika klabu ya Los Angeles Galaxy. Cole, 37, aliojiunga na Galaxy Januari 2016 na amewachezea mechi 55 katika misimu miwili. Beki huyo wa kushoto wa zamani wa Arsenal na Chelsea …

Read More »

Arsene Wenger alalamika tena EPL na kupinga mashtaka dhidi yake

Arsene Wenger Meneja wa Arsenal Arsene Wenger, amesema atapinga mashtaka yaliyowasilishwa na shirikisho la kandanda la FA baada ya kuibua malalamiko zaidi kwa maafisa kufuatia sare za siku ya Jumatano na Chelsea. Wenger alikerwa na mwamuzi wa mechi hiyo ya Jumatano Anthony Taylor baada yake kumzawadi Eden Hazard nafasi ya …

Read More »

Everton kumchukua mshambuliaji wa Besiktas Cenk Tosun kwa £27m

Everton wamekubaliana na klabu ya Besiktas ya Uturuki kuhusu kumnunua mshambuliaji Cenk Tosun. Meneja wa Everton Sam Allardyce amesema kilichosalia sasa ni makubaliano kati ya klabu na mchezaji huyo. Everton walifanya mkutano na rais wa Besiktas Fikret Orman Jumatano kuhusu uhamisho ambao unatarajiwa kuwa wa £27m. Tosun, 26, amekuwa London …

Read More »

Simba yamewakuta Zanzibar

MABINGWA wa kihistoria wa Kombe la Mapinduzi, Simba, juzi walianza vibaya mashindano hayo baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mwenge kwenye Uwanja wa Amaan hapa. Simba waliandika bao la kwanza kupitia kwa Jamal Mwambeleko baada ya mpira wa krosi wa Mohamed Hussein katika dakika ya pili tangu kuanza …

Read More »