Home / Afya

Afya

Muitikio wa hedhi salama bado mdogo kwa Wanaume Tanzania

Upatikanaji wa pedi ni changamoto bado kwa wanafunzi wa sekondari nchini Tanzania Mzunguko wa siku za hedhi kwa wanawake ni jambo ambalo huwa halizungumzwi hadharani katika jamii nyingi barani Afrika kutokana na imani za kidini na kitamaduni. Vivyo hivyo ushiriki wa wanaume katika suala la hedhi kwa msichana nchini Tanzania …

Read More »

Dawa ya kutibu mafua ina tafitiwa

Mgonjwa mwenye mafua na kifua Tiba ya Mafua ya kawaida huenda ikapatikana . Wanasayansi katika chuo cha Imperial College London waanarifu kuwa tiba yake itahusisha uzuiaji wa protini muhimu katika seli za mapafu ambazo virusi vya mafua kwa kawaida hushambulia , kuzaliana na kusambaa . Watafiti wa magonjwa mbalimbali wanasema …

Read More »

Wanasayansi wafanikiwa kuhamisha kumbukumbu baina ya konokono

Wanasayansi walifanya utafiti wakitumia konokono Kuhamishwa kwa kumbukumu kimekuwa ni kitu ambacho hakijafanikiwa kisayansi kwa miongo kadha lakini sasa huenda jambo hilo likapata ufumbuzi. Kundi moja la wataalamu limefanikiwa kuhamisha kumbukumbu ya kijenetiki inayofahamiaka kama RNA kutoka kwa konokono mmoja kwenda kwa mwingine. Kwanza konokono hao walipewa mafunzo ya kuwa …

Read More »

Utafiti: Malazi ya Sokwewatu ni masafi kuliko ya binaadamu

Malazi ya Sokwemtu ni masafi zaidi kuliko ya binaadamu Malazi ya Sokwe mtu ni masafi kuliko ya binaadam, wanasayansi wamebaini. Viumbe hawa hujenga malazi kwa kutumia matawi na majani ya miti ambapo hulala. Malazi ya sokwe mtu ni mfano kwa mwanadamu kijana ambaye anaweza kuona vigumu kufuata Mwanafunzi wa Marekani …

Read More »

Mambo 9 makuu kuhusu muda tunaoweza kuishi

Wanawake huishi miaka mingi kuliko wanaume kwenye nchi 195 na nchini Urusi wanawake huishi miaka mingi kuliko wanaume kwa miaka 11. Watu nchini Ethiopia wanaishi miaka 19 zaidi kuliko mwaka 1990 na watu walio kwenye nchi ambazo maisha yao ni marefu, wanaishi miaka 34 zaidi kuliko wale walio nchi ambazo …

Read More »

Saratani ya kizazi yaathiri wanawake 466,000

ZAIDI ya wanawake 466,000 duniani, wengi wao wakiwa katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania, huathirika na saratani ya mlango wa kizazi kila mwaka. Hayo yalibainishwa jana Jijini Dodoma na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk James Kiologwe wakati akifungua semina ya siku moja kwa wanahabari kuhusu uanzishwaji wa chanjo ya …

Read More »

Je unakula chakula bora kulinda heshima yako nyumbani?

WANAUME wana kawaida ya kupenda kufahamika kwa umahiri wao kimwili na matokeo yake hujiita kwa majina mbalimbali. Utawasikia wakijiita rijali, dume, jembe majina mengine mengi. Hata hivyo, takwimu zinaonesha kuwa asilimia 60, wanaume wanandoa wakiwamo wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa nyakati fulani au katika muda …

Read More »

Ndoa za ukoo mmoja hatari Kwa magonjwa ya kurithi

MAGONJWA ya urithi ni aina ya magonjwa yanayosababishwa na hitilafu kwenye vinasaba na hivyo kurithiwa kutoka kwa wazazi. Hitilafu hizi zinaweza kutokea kwenye kinasaba cha aina moja au vinasaba vingi kwa pamoja na aina ya ugonjwa itategemea vinasaba gani vimeathirika. Mfano wa magonjwa yanayosababishwa na hitilafu kwenye vinasaba ni pamoja …

Read More »

Upimaji Ukimwi baa sio lazima -Waziri

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa Kifua Kikuu (TB) na Ukimwi kwenye baa hautakuwa wa lazima. Akizungumza wakati wa maadhimisho wa miaka 30 ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP), Mwalimu alisema baada ya kutolewa taarifa ya kuwapo mpango huo …

Read More »