Home / Habari za Kimataifa (page 20)

Habari za Kimataifa

Picha za ngono kumfuta kazi Naibu waziri Uingereza

Damian Green Naibu wa waziri mkuu wa Uingereza, Damian Green, ameachishwa kazi baada ya kubainika kuwa alikiuka kanuni za uwaziri. Bwana Green ambaye alikuwa mshirika wa karibu wa Waziri mkuu Theresa May alibainika kuwa alitoa taarifa zisizo sahihi kuhusu picha za ngono zilizokutwa kwenye komputa yake ya ofisini. Damian Green …

Read More »

Catalonia kufanya uchaguzi wake mkuu leo

Serikali ya Madrid inasema hali sasa ni shwari Raia wa Catalonia leo hii watachagua viongozi wao wapya, katika uchaguzi ambao serikali kuu ya Uhispania inaamini utamaliza msuguano wa kisiasa unaoendelea. Serikali kuu ya Madrid iliuvunja utawala uliokuwepo awali, baada ya kuandaa kura ya maoni iliyodaiwa kutofuata kanuni, iliyotaka uhuru wa …

Read More »

Gari lajeruhi umati wa watu Melbourne, Australia

Polisi wakiokoa majeruhi wa ajali hiyo Gari moja lililokuwa kwenye mwendo wa kasi limewagonga na kuwajeruhi watu kadhaa katika mji wa Melbourne nchini Australia. Picha kutoka kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha watu wakiwa wameanguka chini, wakitokwa na damu karibu na gari hilo jeupe. Baadhi ya waliojeruhiwa ni mtoto mdogo ambaye …

Read More »

Uganda yaondoa kikomo cha umri wa kugombea urais

Rais Yoweri Museveni sasa anaweza kuwania urais tena mwaka 2021 Wabunge wa Uganda wameyapitisha mabadiliko ya Katiba ambayo sasa yanamruhusu Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kuwania nafasi hiyo ya juu kabisa kwa muhula wa sita. Baada ya siku tatu za majadiliano mazito na mivutano, hatimaye waondoa ukomo wa umri …

Read More »

Ramaphosa aahidi kuimarisha uchumi wa Afrika Kusini

Cyril Ramaphosa amekuwa kiongozi mkuu wa ANC baada ya kuwashinda wapinzani wake akiwemo Nkosazana Dlamini Zuma Kiongozi mpya wa chama cha ANC cha Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefunga rasmi mkutano wa chama hicho akiahidi kufanyia kazi sera za kuimarisha uchumi wa nchi hiyo. Akizungumza katika kikao kilichomalizika usiku wa manane, …

Read More »

Aliyekuwa kiongozi wa Catalonia ajisalimisha kwa polisi

Carles Puigdemont Aliyekuwa kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont na waliokuwa washauri wake wanne wamejisalimisha kwa polisi nchini Ubelgiji, kwa mujibu wa msemaji wa mkuu wa mshtaka. Alisema kuwa jaji ataamua Jumatatu ikiwa atatekeleza waranti wa kukamatwa uliotolewa na jaji nchini Uhispania siku ya Ijumaa. Bw Puigdemont alikimbia kwenda Ubelgiji baada …

Read More »