Home / Habari za Kimataifa (page 221)

Habari za Kimataifa

KAMBI YA JESHI LA MAREKANI YASHAMBULIWA AFGHANISTAN .

Kumeripotiwa shambulizi kubwa lililofanywa na wanamgambo kwenye kambi kubwa zaidi ya wanajeshi wa Marekani ya Bagram nchini Afghanistan. Jeshi linaloongozwa na NATO, lilisema kuwa watu wanne waliuawa na hadi 14 kuejruhiwa wakati kifaa kimoja kililipuliwa. Maafisa wanasema kwa huenda mlipuaji alikuwa ni mshambuliaji wa kujitoa mhanga, ambaye alidanganya kuwa mfanyakazi …

Read More »

MAELFU WAANDAMANA KUMPINGA RAIS WA KOREA KUSINI

Kwa wikendi ya tatu mfululizo wananchi wa Korea Kusini waliyojawa na ghadhabu wameamua kumiminika katika barabara za mji mkuu wa Seoul kumtaka rais wa taifa hilo Park Guen Hye kujiuzulu. Mandamano ya leo yanatarajiwa kuwa makubwa zaidi. Viongozi wa maandamano hayo wanasema mamilioni ya watu watashiriki. Maelfu ya maafisa wa …

Read More »

KENYA: HATUTASHIRIKIANA NA UN SUDAN KUSINI

Serikai ya Kenya inasema kuwa iko tayari kulisaidia taifa la Sudan Kusini kuimarisha uthabiti wake lakini sio kupitia ujumbe wa Umoja wa Mataifa UNMISS. Kenya iliondo vikosi vyake kutoka nchini Sudan Kusini kufuatia kupigwa kalamu kwa kamanda wake na Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini. Akizungumza katika ikulu ya Whitehouse …

Read More »

WATU 30 WAUAWA KWENYE SHAMBULIZI PAKISTAN

Takriban watu 30 wameuawa kwenye shambulizi lililotokea kwenye madhabahu ya kiislamu yaliyo mkoa wa Balochistan, kwa mujibu wa maafisa nchini Pakistan. Watu wengine kadha wanaripotiwa kujeruhiwa katika madhabua ya Shah Noorani yaliyo wilaya ya Kunduz. Vyombo vya habari viliripoti kuwa hakuna hospitali iliyo karibu na watoa huduma za dharura wanajaribu …

Read More »

OBAMA KUHAMIA WASHINGTON DC

Rais Barack Obama wa Marekani ataondoka katika ikulu ya White House mapema mwaka 2017, lakini hatahamia mbali. Bwa Obama alisema siku ya Alhamisi kwamba familia yake itahamia mjini Washington, huku mwanawe wa kike Sasha akimaliza shule katika Elite Academy, Sidwel Friends. ”Kumhamisha mtu katikati ya mafunzo ni ngumu”, alisema alipokuwa …

Read More »

UN KATIKA JITIHADA ZA KUTATUA MZOZO WA KISIASA DRC

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wanazuru Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, kujaribu kuzima mvutano wa kisiasa nchini humo. Rais Joseph Kabila anamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho mwezi ujao, lakini uchaguzi umehairishwa. Upinzani unamtuhumu rais kwamba anachelewesha uchaguzi makusudi ili abaki madarakani. Shirika la …

Read More »