Home / Habari za Kimataifa (page 3)

Habari za Kimataifa

Wapalestina wengine wawili wauawa Gaza

Kijana akiwa ameshika ufunguo wa bandia wakati wa vurugu baina ya Waisrael na Wapalestina . Inaarifiwa kuwa Wapalestina wawili zaidi wamepigwa risasi na kufa katika ukanda wa Gaza wakati mkutano wa Umoja wa Mataifa ukiendelea. Akizungumzia na mkusanyiko wa mabalozi wa Umoja wa Mataifa, Nikki Haley, ameisifu Israeli na kusema …

Read More »

Watu 26 wauawa katika shambulio Burundi

Usalama umeimarishwa Burundi kufautia shambulio ambapo watu 26 wameuawa kaskazini magharibi mwa taifa hilo Serikali ya Burundi inasema kuwa watu 26 wameuawa wakati wa shambulio kaskazini magharibi mwa taifa hilo. Ghasia hizo zinajiri siku kadhaa kabla ya kufanyika kwa kura ya maoni iliokumbwa na utata ambayo huenda ikaongeza muda wa …

Read More »