Home / Habari za Kimataifa (page 30)

Habari za Kimataifa

Upinzani waahirisha maandamano yake Kenya

Upinzani nchini Kenya NASA Jumanne uliahirisha maandamano yake dhidi ya tume ya uchaguzi nchini humo IEBC Upinzani nchini Kenya NASA Jumanne uliahirisha maandamano yake dhidi ya tume ya uchaguzi nchini humo IEBC huku kukiwa na madai ya maafisa wa polisi kutumia nguvu zaidi dhidi ya waandamanaji. Kiongozi wa upinzani nchini …

Read More »

Mahakama yaondoa marufuku ya maandamano Kenya

Mahakama yaondoa marufuku ya maandamano Kenya Mahakama kuu nchini kenya imeondoa kwa muda marufuku kwa maandamano dhidi ya tume ya uchaguzi ya chi hiyo IEBC. Muungano wa upinzani (Nasa) ulikuwa tayari umetangaza kuwa haungefanya maandamano leo dhidi ya tume ya uchaguzi, ili kuwaruhusu viongozi wake kuwatembelea watu walipigwa na polisi …

Read More »

Rais Zuma amfuta kazi waziri wa elimu ya juu

Rais Zuma amfuta kazi waziri wa elimu ya juu Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amemfuta kazi mkosoaji wake mkubwa kutoka kwa serikali yake. Kiongozi wa chama cha Communist Blade Nzimande, ambaye amekosoa ufisadi mkubwa ndani ya serikali na kuunga mkono kampeni za urais za mfanya biashara tajiri Cyril Ramaphosa, …

Read More »

Upinzani waahirisha maandamano dhidi ya tume ya uchaguzi Kenya

Upinzani umekuwa ukimshinikiza Afisa Mkuu wa IEBC Ezra Chiloba ajiuzulu Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) umefutilia mbali maandamano ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika nchini humo leo kushinikiza mageuzi katika tume ya uchaguzi. Muungano huo, kupitia taarifa, umesema umechukua hatua hiyo kupata fursa ya kuomboleza watu ambao wameuawa …

Read More »