Home / Habari za Kimataifa (page 4)

Habari za Kimataifa

Sababu ya Iran na Israel kushambuliana Syria

Waandamanaji wa Iran wakichoma bendera ya Israel wakati wa mazishi ya afisa wa ngazi ya juu wa Iran aliyeuawa nchini Syria mwaka 2015 Israel imeshambulia kwa mabomu na makombora vikosi vya Iran nchini Syria na kuzua wasiwasi kwamba mataifa hayo mawili hasimu huenda yakapigana. Lakini je, uhasama wao ulianza wapi …

Read More »

Radi yawaua watu wengi kanisani Rwanda

Radi imewaua takriban watu 16 na kuwajeruhiwa wengine kadhaa kwenye kanisa moja la KiAdiventista nchini Rwanda siku ya Jumamosi Wengi wa waathiriwa walifariki papo hapo wakati radi ilipiga kwenye kanisa katika wilaya iliyo kusini mwa nchi ya Nyaruguru, kwa mujibu wa meya wa eneo hilo, Habitegeko Francois. Watu wawili walifariki …

Read More »

Urusi yafanyia majaribio kombora lisiloweza kuzuiwa

makombora ya urusi

Urusi inasema kuwa imefanakiwa kulifanyia majaribio kombora lake lisiloweza kuzuiwa, moja ya makombora yaliyotangawa na Rais Vladimir Putin mapema mwezi huu. Wizara wa ulinzi ya Urusi ilichapisha video ikionyesha kombora hilo likifyatuliwa kutoka kwa ndege ya vita na kuacha moshi nyuma. Ilisema ‘lengo’ la kombora hilo liligongwa. Tarehe mosi mwezi …

Read More »

Kenya yakumbwa na upungufu mkubwa wa fedha

Waziri wa fedha Henry Rotich Wizara ya fedha nchini imekiri kwa serikali inakumbwa na changamoto kubwa za kifedha na haiwezi kabisa kutimiza mahitaji yake. Ufadhili wa miradi muhimu ya serikali umeathiriwa zikiwemo serikali za kaunti ambazo bajeti zao, serikali itazipunguza kwa shilingi bilioni 15 na 17 (dola 147m na 167m). …

Read More »

Mwanamume aliyepasuliwa ubongo kimakosa Kenya azungumza

Mwanamume aliyepasuliwa ubongo kimakosa Kenya azungumza Mwanamume ambaye alifanyiwa upasuaji wa ubongo kimakosa nchini Kenya ameruhusiwa kuondoka hospitalini na kuzungumzia masaibu yaliyompata Akiwa na alama kubwa kichwani, Samwel Kimani aliiambia televisheni ya NTV kuwa, alikuwa amepoteza fahamu wakati alilazwa hospitalini na hakufahamua kilichosababisha madaktari kumfanyia upasuaji. Hospitali ya Kenyatta iliomba …

Read More »