Home / Habari za Kimataifa (page 5)

Habari za Kimataifa

Wanawake huathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi

Wanawake wanaathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake wana uwezekano mkubwa kuathirika na mabadiliko ya tabia nchi zaidi ya wanaume. Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa asilimia 80 ya watu wanaolazimika kuhama makazi yao kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ni wanawake. Majukumu yao …

Read More »

Wanawake 500 wamesafirishwa kiharamu kutoka Burundi

Shirika hilo limewaorodhesha wanawake zaidi ya 500 nchini Burundi waliohusishwa na biashara ya watu. Katika mkesha wa siku ya wanawake duniani, shirika moja la kutetea haki za binaadamu nchini Burundi limewaorodhesha wanawake zaidi ya 500 nchini humo waliohusishwa na biashara ya watu. Shirika hilo limeitaka serikali ya Burundi kupambana na …

Read More »

Manowari ya Marekani yatia nanga Vietnam

Manowari hiyo inayotumia nishati ya nyuklia itatia nanga katika bandari wa Danang Mamowari ya Marekani Carl Vinson inafanya ziara ya kihistoria nchini Vietnam kwa mara ya kwanza kwa meli ya aina hiyo kuzuru Vietnam tangu vita kumazilika. Manowari hiyo inayotumia nishati ya nyuklia itatia nanga katika bandari wa Danang ambapo …

Read More »