Home / Habari Za Kitaifa / Vita dhidi ya dawa za kulevya: Jeshi la polisi laagiza makamanda wake kuongeza nguvu

Vita dhidi ya dawa za kulevya: Jeshi la polisi laagiza makamanda wake kuongeza nguvu

Katika kuhakikisha kuwa biashara haramu ya dawa za kulevya inakomeshwa hapa nchini na kwa kuzingatia dhamira ya serikali ya awamu ya tano ya kupambana na tatizo la dawa za kulevya, jeshi la polisi nchini limetoa maelekezo kwa Makamanda wa Polisi katika mikoa yote kuongeza nguvu za Oparesheni dhidi ya biashara hiyo haramu kwa kuwakamata wanaotumia, wanaouza na wanaosafirisha.

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Wanawake 500 kujadili fursa leo

TAKRIBANI wanawake 500 kutoka nchi 25 za Afrika, wanatarajiwa kukutana nchini leo, katika kongamano la …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *