Home / Habari za Kimataifa / Waandamanaji wapanda mgomba katikati ya barabara Nairobi

Waandamanaji wapanda mgomba katikati ya barabara Nairobi

Watoa huduma za usafiri wapanda mgomba wa ndizi barabarani Nairobi

Wahudumu wa magari ya usafiri nchi Kenya, yanayofahamika kama matatu wamefanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya barabara kwenye mitaa ya mji mkuu Nairobi.

Kituo kimoja cha redio kimetuma picha ya waandamanaji wakipanda mgomba wa ndizi barabarani kwenye mtaa wa Kayole, kama njia ya kusema kuwa barabara iyo inaweza kuwa bora kwa kilimo kuliko iwe barabara ya magari.

Watoa huduma za usafiri wapanda mgomba wa ndizi barabarani Nairobi

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Kumekuwa na maneno makali kutoka kwa Rais Donald Trump kuelekea mkutano wa mataifa tajiri G7 unaotarajiwa kufanyika nchini Canada

Rais Trump atoa matamko makali Kumekuwa na maneno makali kutoka kwa Rais Donald Trump kuelekea …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *