Recent Posts

Atletico Madrid walaza Marseille 3-0 na kutwaa Europa League

Atletico Madrid wameshinda Europa League mara tatu, ambapo wanashikilia rekodi sasa na Sevilla Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League mara yao ya tatu katika kipindi cha miaka tisa. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alianza …

Read More »

Maandalizi mradi wa Stiegler’s Gorge yaiva

ZABUNI ya uuzaji wa miti kwenye eneo ambalo litatumika kwa ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya Mto Rufi ji ya Stiegler’s Gorge zimefunguliwa jana. Kufunguliwa kwa zabuni hizo kunatokana na muda uliotangazwa wa kimataifa wa siku 21 kukamilika juzi tangu Aprili 25, mwaka huu. Mtendaji Mkuu wa …

Read More »

Tanzanite One sasa kuilipa fidia serikali

KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Tanzanite One imekubali kuilipa serikali fi dia pamoja na kodi watakayokubaliana kutokana na dosari zilizokuwepo hapo awali. Makubaliano hayo yalitiwa saini jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli, Profesa Palamagamba Kabudi na Mkurugenzi wa Tanzanite One, Faisal Juma. …

Read More »