Recent Posts

Wanawake huathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi

Wanawake wanaathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake wana uwezekano mkubwa kuathirika na mabadiliko ya tabia nchi zaidi ya wanaume. Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa asilimia 80 ya watu wanaolazimika kuhama makazi yao kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ni wanawake. Majukumu yao …

Read More »

Wakimbizi kutoka Burundi waliokuepo DRC wahamishiwa Rwanda

Wakimbizi wa Burundi waliohama ni wanawake na watoto Wakimbizi zaidi ya 2000 walioingia nchini DRC tangu mwaka 2015, wamefika katika mpaka wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda bila taarifa wakiwa wamesindikizwa na wanajeshi wa umoja wa umoja wa mataifa wa Monusoco . Kwa mujibu wa taarifa kutoka idara …

Read More »

Wanawake 500 wamesafirishwa kiharamu kutoka Burundi

Shirika hilo limewaorodhesha wanawake zaidi ya 500 nchini Burundi waliohusishwa na biashara ya watu. Katika mkesha wa siku ya wanawake duniani, shirika moja la kutetea haki za binaadamu nchini Burundi limewaorodhesha wanawake zaidi ya 500 nchini humo waliohusishwa na biashara ya watu. Shirika hilo limeitaka serikali ya Burundi kupambana na …

Read More »