Recent Posts

Kodi mafuta ghafi kuongezwa

SERIKALI imelieleza Bunge kuwa itaongeza kodi kwenye mafuta ghafi yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 10 hadi 25. Wizara ya Kilimo pia imewasilisha Wizara ya Fedha na Mipango mapendekezo ya kuboresha mfumo wa kodi na tozo kwa lengo la kuboresha mazingira ya uwekezaji na uendeshaji biashara kwenye shughuli za kilimo. Waziri wa …

Read More »

Dawa ya kutibu mafua ina tafitiwa

Mgonjwa mwenye mafua na kifua Tiba ya Mafua ya kawaida huenda ikapatikana . Wanasayansi katika chuo cha Imperial College London waanarifu kuwa tiba yake itahusisha uzuiaji wa protini muhimu katika seli za mapafu ambazo virusi vya mafua kwa kawaida hushambulia , kuzaliana na kusambaa . Watafiti wa magonjwa mbalimbali wanasema …

Read More »

Wanasayansi wafanikiwa kuhamisha kumbukumbu baina ya konokono

Wanasayansi walifanya utafiti wakitumia konokono Kuhamishwa kwa kumbukumu kimekuwa ni kitu ambacho hakijafanikiwa kisayansi kwa miongo kadha lakini sasa huenda jambo hilo likapata ufumbuzi. Kundi moja la wataalamu limefanikiwa kuhamisha kumbukumbu ya kijenetiki inayofahamiaka kama RNA kutoka kwa konokono mmoja kwenda kwa mwingine. Kwanza konokono hao walipewa mafunzo ya kuwa …

Read More »