Recent Posts

Mtanzania auawa kinyama Afrika Kusini

WIZARA ya Mambo na Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha kifo cha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa akisoma nchini Afrika Kusini. Akizungumza na gazeti hili, Msemaji wa Wizara hiyo, Mindi Kasiga alifafanua kuwa kwa sasa wizara imewasiliana na Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ili kubaini undani wa suala hilo. Alisema …

Read More »

Ndalichako atoa miezi 3 mlundikano wanafunzi kumalizwa

SERIKALI imetoa miezi mitatu kwa Maofisa elimu wa mikoa kuhakikisha wanaondoa mlundikano wa wanafunzi madarasani hasa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichakoalipokuwa akifunga kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Elimu na Mipango ngazi ya …

Read More »

Operesheni za UN zasitishwa mjini Rann,Nigeria

Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria Umoja wa Mataifa umeeleza kwa kina kuhusu sababu za kusitisha operesheni za kibinaadam mjini Rann nchini Nigeria baada ya shambulio la siku ya Alhamisi ambalo linadaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kiislamu, Boko Haram. Zaidi ya wafanyakazi 50 wa misaada walikuwa wakitoa usaidizi kwa …

Read More »