Recent Posts

Utafiti: Malazi ya Sokwewatu ni masafi kuliko ya binaadamu

Malazi ya Sokwemtu ni masafi zaidi kuliko ya binaadamu Malazi ya Sokwe mtu ni masafi kuliko ya binaadam, wanasayansi wamebaini. Viumbe hawa hujenga malazi kwa kutumia matawi na majani ya miti ambapo hulala. Malazi ya sokwe mtu ni mfano kwa mwanadamu kijana ambaye anaweza kuona vigumu kufuata Mwanafunzi wa Marekani …

Read More »

Kura ya maamuzi ya kuongeza muda wa muhula wa rais yafanyika Burundi

Mwanamke huyu alikuwa wa kwanza kupiga kura kituo cha eneo liitwalo Ngozi Burundi inafanya kura ya maamuzi hapo inayopania kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba. Marekebisho hayo ya katiba yakiidhinishwa na wananchi huenda rais Pierre Nkurunziza akaongoza taifa hilo hadi mwaka wa 2034. Lakini kampeni hizo zimechafuliwa …

Read More »

Rais wa nchi ya watu wawili afariki Israel

Rais Eli Avivi, akiwa Achzivland mwaka 2006 Mmoja wa watawala wa miaka mingi zaidi huko Mashariki ya Kati amefariki dunia akiwa na miaka 88 lakini Eli Avivi hakuwa rais wa kawaida tu. Aliongoza taifa hilo zaidi la Achzivlabd lenye watu wawili kwa karibu nusu karne. Taifa hilo dogo lililo kaskazini …

Read More »