Recent Posts

Matarajio ya Trump na Kim kukutana yangalipo

Rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un Raisi wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hakuna uwazi endapo mkutano pamoja na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un utafanyika kama walivyokubaliana awali, ingawa bado ana matumaini . Rais Trump ameyasema hayo wakati wa mkutano wake …

Read More »

JPM atoa maagizo 5 mazito mafuta ya kula

RAIS John Magufuli ametoa maagizo matano kwa watendaji wa wizara na idara za serikali, alipofanya ziara ya kushtukiza muda wa saa 6.30 mchana, kufuatilia sakata la mafuta ya kula kwenye Bandari ya Dar es Salaam jana, ikiwemo kuagiza mafuta hayo kutolewa bandarini haraka. Rais Magufuli alitoa maagizo hayo, baada ya …

Read More »

Kilimo kuwa cha kibiashara zaidi

WIZARA ya Kilimo imelieleza Bunge kuwa, mwelekeo wa sekta ya kilimo itakaousimamia kuanzia sasa hadi mwaka 2025 ni kuleta mageuzi ya kilimo kutoka mtazamo wa kilimo cha kujikimu kwenda kwenye mfumo wa kilimo cha kibiashara. Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Charles Tizeba amesema, lengo la mageuzi hayo ni kuhakikisha shughuli …

Read More »